PASS Leasing Company LTD | Karibu
Our vision and mission

Since 2019

Kuhusu Sisi

Karibu PASS Leasing PASS Leasing

PASS Leasing Company Limited ni kampuni inayomilikiwa kikamilifu na PASS TRUST, iliyosajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni ya Tanzania na inasimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Dira

Kuwa taasisi bora ya ukodishaji inayoboresha maisha ya wajasiriamali wadogo na wa kati wa kilimo nchini Tanzania.

Dhamira

Kuwezesha minyororo ya thamani ya kilimo kufikia uwezo wake wa juu kupitia upatikanaji na matumizi ya teknolojia endelevu.

Lengo

Kuwa kinara na mtoa huduma bora wa fedha za ukodishaji katika sekta ya kilimo.

5+
Miaka
Uzoefu Wetu
300+
Nchi Nzima
Wataalamu wa Kilimo
800+
Projects
Miradi Iliyokamilika
1300+
Clients
Wateja Walioridhika
Huduma

Mitambo ya Kilimo

Comprehensive leasing solutions tailored to your needs

Mitambo ya Kilimo

Tractors, harvesters, and farming equipment

Learn More

Mitambo ya Viwanda

Construction and manufacturing equipment

Learn More

Mifumo ya Umwagiliaji

Modern irrigation and water management

Learn More

Usafirishaji

Commercial vehicles and logistics

Learn More

Renewable Energy

Solar and sustainable power solutions

Learn More

Financial Leasing

Flexible financing options

Learn More
Ofisi Zetu

Find Us

Office Location Map

Head Office

Dar es Salaam, Tanzania

+255 123 456 789

info@passlease.co.tz

Timu Yetu

Timu ya PASS Leasing

PASS Leasing Leadership Team

Timu Yetu

PASS Leasing Company ina timu ya kimkakati inayojitolea kutoa huduma bora na za haraka kwa wateja wetu kote Tanzania. Kampuni yetu ina timu ndogo inayofanya kazi kwa bidii na yenye ari ya umoja ili kufikia malengo yetu.
Wasambazaji

Our Trusted Partners

Zana Bora - Equipment Supplier

Zana Bora

Premium Supplier
Kanu Equipment - Industrial Supplier

Kanu Equipment

Official Partner
Agricom Africa - Agricultural Solutions

Agricom Africa

Strategic Partner